Pages

Thursday, September 20, 2012

MAFUNZO YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA



 Mwenyekiti wa NIPAA Bw. Michael Sadiki akimkaribisha Kaimu Kamanda wa TAKUKURU, Kufungua Mafunzo ya Mapambano Dhidi ya Rushwa.




Kaimu Kamanda Takukuru Mkoa wa Ruvuma akifungua mafunzo ya mapambano dhidi ya rushwa yaliyoendeshwa na Nindai Poverty Alleviation Association (NIPAA). Kwa msaada wa The Foundation For Civil Society, January 23-25, 2012.





 Washiriki wa Mafunzo ya Mapambano dhidi ya Rushwa yaliyoendeshwa na NIPAA kwa msaada wa The Foundation for Civil Society wakisikiliza mafunzo yenye mjadala.
 Viongozi wa Mtandao wa Utawala bora Mkoani Ruvuma, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Ufunguzi wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi mwanachama, mbinu stadi katika mapambano dhidi ya rushwa.
Brigedia wa JWTZ kanda wa kusini, akiongea kwenye kikao cha pamoja kati ya NIPAA na vyombo vya dola vya Mkoa wa Ruvuma, Juu ya nafasi ya vyombo vya dola katika mapambano dhidi ya rushwa, na nafsi ya wananchi katika mapambano dhidi ya rushwa. Tarehe 05/07/2012. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa VETA Songea.










No comments:

Post a Comment